Kikosi cha askari kikitoa saluti wakati nyimbo za Taifa za Tanzania na Malayasia zikipigwa mara baada ya Balozi wa Tanzania nchini humo  Mhe. Dkt Ramadhani Dau kuwasili katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur kukabidhi hati zake za utambulisho kwa mfalme na mkuu wa nchi hiyo aliyemaliza muda wake Abdul Halim Mu'adzam Shah mapema mwezi huu.
 Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Mhe. Dkt Ramadhani Dau akiingia katika  kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur kukabidhi hati zake za utambulisho kwa mfalme na mkuu wa nchi hiyo   Abdul Halim Mu'adzam Shah mapema mwezi huu.
 Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Mhe. Dkt Ramadhani Dau akiwa  katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur tayari kukabidhi hati zake za utambulisho kwa mfalme na mkuu wa nchi hiyo   Abdul Halim Mu'adzam Shah mapema mwezi huu.
 Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Mhe. Dkt Ramadhani Dau akikabidhi  hati zake za utambulisho kwa mfalme na mkuu wa nchi hiyo  Abdul Halim Mu'adzam Shah katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur  mapema mwezi huu.
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Mhe. Dkt Ramadhani Dau akikabidhi  hati zake za utambulisho kwa mfalme na mkuu wa nchi hiyo  Abdul Halim Mu'adzam Shah katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur  mapema mwezi huu. Picha kwa hisani ya Ubalozi wa Tanzania Malaysia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...