Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje wa Slovenia hapa nchini, Stanslav Vidovic, aliyemtembelea leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Desemba 15, 2016.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje wa Slovenia hapa nchini, Stanslav Vidovic, aliyemtembelea leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Desemba 15, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...