Mkuu wa Masoko na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Kanda ya Pwani, Harrieth Koka (Kushoto) akimkabidhi hundi ya Tsh. Milioni 1/- kwa mchezaji wa Ndanda FC, Riphat Hamis aliyeibuka mchezaji bora wa ligi kuu mwezi uliopita kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu yake na Simba SC hapo jana.Simba ilishinda 2-0(Na Mpiga picha wetu)
Home
BIASHARA
MICHEZO
RIPHAT HAMIS AKABIDHIWA HUNDI YAKE YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...