SIMU.TV: Makamu wa Rais Samia Suluhu amesema serikali iko katika jitihada za kuandaa mazingira mazuri ya kurasimisha sekta zisizo rasmi; https://youtu.be/F8emXyvT3g4
SIMU.TV: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaboresha mitaala ya shule za sekondari na vyuo vya ujasiriamali; https://youtu.be/miXoqtluqXE
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa apiga marufuku kwa halmshauri zote nchini kununua magari ya kubeba taka nje ya nchi; https://youtu.be/WhLHo-057Qk
SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani mwanza kwa kushirikiana na askari mgambo limefanikiwa kuwaondoa machinga katikati ya jiji hilo; https://youtu.be/DHiUoXXzXlk
Simu.Tv: Serikali imekiri kuwepo kwa changamoto za maeneo ya kufanyia biashara na kuahidi kutatua changamoto hizo haraka iwezekanavyo: https://youtu.be/01pwlOgZ2tM
Simu.Tv; Jeshi la polisi Mkoani Mwanza limetakiwa kuimarisha usalama wa raia na mali zao ili kuepuka vitendo vya uhalifu: https://youtu.be/IBoD8rryNuM
SIMU.TV:Timu ya mpira wa kikapu ya walemavu ya Tanzania yaadhimisha siku ya walemavu duniani kwa kucheza na timu ya Kenya; https://youtu.be/XYtFcsZAnZI
SIMU.TV: Timu ya ngumi ya JKT inayojiandaa na mashindano ya mabingwa kwa nchi za Afrika Mashariki inaendelea na mazoezi; https://youtu.be/zJereUbKlgE
Simu.Tv: Serikali imezipongeza asasi za kifedha nchini zinazojitokeza kudhamini michezo huku ikizitaka asasi hizo kuzisaidia timu za wanawake: https://youtu.be/1U39sHcjA2k
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...