Bendi mpya ya muziki wa taarab iitwayo Yamoto Taarab jana usiku katika ukumbi wa maraha wa Dar Live ulioko Mbagala Zakhem jijini Dar es salaam ulipagawisha umati wa mashabiki ambao pamoja na muziki huo walijimwaya kwa muziki wa vikundi mbalimbali vya mchiriku na muziki wa kizazi kipya.
Kundi la Yamoto likiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wao, Saidi Fela.
Leila Rashid (kushoto) akiimba huku Mohamed Mauji akiungurumisha gitaa.
Omar Tego akiimba huku mashabiki wakimtunza.
|
Home
Unlabelled
Uzinduzi wa ‘Yamoto Taarab’ Watia Kiwewe Mashabiki Dar Live
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...