Leo Disemba 29, 2016 ni siku ya furaha kwa ndugu, jamaa na marafiki wa kijana Jackson John Binagi, wa Kenyamanyori Tarime mkoani Mara (wa tatu kushoto),aliyefunga ndoa na Bi.Monica Syaga wa Mogabiri Tarime, Mara.
Maharusi na wapambe wao, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki
Maharusi na wapambe wao
Maharusi katika ubora wao
Wazazi wa bibi harusi wakiongozwa na baba, wakimpa baraka bibi harusi
Ni furaha kwa ndugu, jamaa na marafiki kucheza ngoma ya asili ya Kikurya (Ritungu) kwenye harusi hiyo. TAZAMA PICHA ZAIDI HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...