Mkurugenzi wa halmshauri ya Kilimanjaro, Michael Mwandezi  akikata utepe na washindi wa Whitedent promosheni, Daniel Amiri Ramadhan kutoka Tanga car (no.9) na Julius Ferdinand Masawe kutoka Moshi car (no.8), katika halfa ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha.
 Mkurugenzi wa halmshauri ya Kilimanjaro, Michael Mwandezi akimkabidhi gari mshindi kutoka Tanga, Daniel Amiri Ramadhan (car no.9) katika halfa ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha.
 Mgeni rasmi SSP Audas Majaliwa akimkabidhi funguo za gari mmoja ya mshindi wa Whitedent promoshen, Pascal Luhendeka kutoka Geita katika halfa iliyofanyika Mwanza mjini ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha. 
 Mgeni rasmi SSP Audas Majaliwa akimkabidhi funguo za gari mmoja ya mshindi wa Whitedent promoshen, Yaziru Yassini kutoka Kagera katika halfa iliyofanyika Mwanza mjini ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha. 
Mgeni rasmi SSP Audas Majaliwa akimkabidhi funguo za gari mmoja ya mshindi wa Whitedent promoshen, Emmanuel Robert kutoka Mwanza katika halfa iliyofanyika Mwanza mjini ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...