
Kaimu
Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Alipo tembezwa na Mkuu wa Wilaya ya
Kyelwa Kuona Athari zilizo tokana na Mvua ya Mawe Zilizo Wakumba
Wananchi wa kijiji Kangenyi Kata ya Kieluwa Wilayani Kyelwa

Mhandisi
wa Maji wilaya Misenyi ABdallah Gendaheka wa tatu kutoka kushoto akitoa
maelezo mbele ya kaimu katibu mkuu wa UVCCM na msafara wake
walipoutembelea mradi huo wa maji ambao kati ya vituo 15 ni vituo vi8tu
vinavyotoa na saba kwa mwaka mmoja na miezi miwili sasa vimeharibik

Kaimu
Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipata maelezo toka kwa Afisa
Mfawidhi wa Mpaka wa Mutukula Bw.Samwel Mori wilayani Misenyi Mkoani
Kagera alipotembelea katika mpaka huo kuangalia shughuli za kihuduma
katika mpaka huo.

Mapokezi ya Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipo Wasili Bukoba Mjini

”Nimekua
nikifuatilia ziara zenu kwa karibu sana,nimeridhika na uibuwaji wenu wa
maswala yenye manfaa,kuzindua miradi ya kimaendeleo lakini pia
kuzungumza na wanachama wenu katika vikao vya ndani vya
kisiasa.Changamoto mlizoziona serikali itaendelea kuzifanyia kazi na
kupata utatuzi,tutasiliba na kuziba mianyayote inayopitisha wahamiaji
haramu na kukomesha vitendo vya uhalifu,hatutashindwa kwa jambo
lolote”Meja jenerali Kijuu alimueleza kaimu katibu mkuu UVCCM.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...