
Mkurugenzi
Mtendaji Bw. William Makufwe akisaidiana na mganga mkuu katikati na
mkuu wa Mkoa kutoa hadubini tayari kwa kuikabidhi kwa viongozi wa
Komkonga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela(kulia) akikabidhi hadubini
kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Komkonga Bw.Omary Mngazija ikiwa ni moja ya
kifaa kwaajili ya kuboresha huduma za Zahanati ya Komkonga.
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga, Mh. Martine Shigela akizungumza na watumishi na
wananchi wa Komkonga juu ya utunzaji wa vifaa hivyo na kupongeza uongozi
wa Halmashuri kwa ujenzi wa maabara ndogo.
Mkuu
wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe aki shukuru Rais kwa fedha
alizozitoa na kufikia hatua ya kupokea Vifaa hivyo kwenye Zahanati ya
Komkonga.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...