Mwanaharakati na Mzawa Kawe James Mwakibinga akizungumza na wakazi wa Kawe wakati walipokuwa wakitoa ombi lao kwa Rais Magufuli kupitia Waziri Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuingilia kati mgogoro wa kiwanja namba 196 kilichojengwa Msikiti ambapo mmoja ya mfanyabiashara mmoja anataka kuubomoa Msikiti huo
Katibu wa Msikiti huo akitoa tamko la Msikiti kutangaza kuwa hawakubaliani kamwe na maamuzi ya Mahakama kwa madai kuwa haki aikutendeka katika utekelezwaji wa hukumu yao ya kutaka msikiti huo uvunjwe
Sehemu ya Waandishi wa Habari na Wakazi wa Kawe wakifatilia kwa Makini Mkutano wa Msikiti wa Kawe ukwamani kupinga kubomolewa Msikiti wao na Wafanyabiashara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...