Wanafunzi wakike mkoani Ruvuma wametakiwa kuzingatia masomo yao ipaswavyo kwa kufuata utaratibu wa kuvaa magauni manne ili aweze kufanikisha malengo ya ndoto zao.
Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME wakati wa tathimini ya elimu mkoa ambapo mwanafunzi wa kike anatakiwa kuvaa sare ya shule toka darasa la kwanza hadi chuo kikuu
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
Home
Unlabelled
WANAFUNZI WA KIKE VAENI MAGAUNI MANNE KWA MPANGILIO ILI MFIKISHE NDOTO ZENU - RC RUVUMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...