Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta ameshiriki katika maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo kiwilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori. Mkuu huyo wa aliishukuru Wakala wa misitu(TFS) kwa kutoa Mizinga 102 katika vikundi vitano, na kuwasisitiza kutumia zao la asali kama fursa ambalo zao hilo halihitaji kupalilia wala kunyeshea bali ni kutundika mizinga kwa utaalamu na kusubiri nyuki. 
Mhe. Kimanta ametoa magizo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya kupitia mapato ya ndani kununua mizinga 500 ambayo itagawanywa kwa vikundi na kuhamasisha kuanzisha kwa vikundi vya vijana, kinamama, wazee na walemavu kwa ajili ya miradi ya ufugaji wa nyuki ili kukuza uchumi kwa wananchi.
 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta akivishwa lubega aliopewa kama zawadi na wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.
 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta akiongea na wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.
 Maafisa wa Wakala wa misitu(TFS) wakitoa moja ya mizinga 102 kwa wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.
  Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta  na Maafisa wa Wakala wa misitu(TFS) wakitoa moja ya mizinga 102 kwa wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe. Idd Hassan Kimanta  na Maafisa wa Wakala wa misitu(TFS) wakitoa moja ya mizinga 102 kwa wananchi wakati wa maazimisho ya Siku ya utundikaji mizinga kitaifa ambapo ki-Wilaya liliazimishwa kijiji cha Losimingori.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...