Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Rwanda Mhe.Edda Mukabagwiza
akiwa miongoni mwa ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoongozwa na Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika
kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai (wa pili
kulia),walipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
SheiN akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya
ya Madola Mhe.Job Ndugai wakati alipoongoza ujumbe wa Maspika wa Mabunge
ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini
Zanziobar leo,[Picha na Ikulu.] 04/10/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika
kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika,ulipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo. Picha na IKULU






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...