Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Agrey Mwanry (wa pili kushoto) akifurahi jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, walipokutana kwa mazungumzo kwenye Makao Makuu ya Benki ya CRDB, Azikiwe jijini Dar es salaam leo. Wengine pichani ni kutoka kulia, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Martha Geleka, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, Philemon Magesa pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Agrey Mwanry (wa tatu kushoto) akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na ujumbe wake, walipokutana kwa mazungumzo kwenye Makao Makuu ya Benki ya CRDB, Azikiwe jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimueleza jambo, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Agrey Mwanry walipokutana kwa mazungumzo kwenye Makao Makuu ya Benki ya CRDB, Azikiwe jijini Dar es salaam.
picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...