Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Sebastian Kitiku akifungua mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Christopher Mushi akitoa mada kuhusu haki za watoto wakati wa mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Mwakilishi wa Shirika la Campassion Bi. Zinath Sylvester akitoa mada kuhusu hali ya ukatili katika mkoa wa Geita wakati wa mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Mhamasishaji Dkt. Katanta Semwinza akitoa mada kuhusu hali ya ukatili katika mkoa wa Geita wakati wa mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Baadhi ya watoto wakifuatilia mada wakati wa mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...