Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea banda la maonesho la
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) yanayoenda
sambamba na Kongamano la uwekezaji katika Mkoa wa Dodoma yanayofanyika
katika viwanja vya ukumbi wa CCM ujulikanao kama CCM Convention
Center, anayetoa maelezo kwa Waziri Mkuu ni mtaalam wa mambo ya
Jiolojia Ambaliche Tamambele kutoka taasisi ya Jiolojia. Moja ya jukumu la Taasi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania ni
kukusanya, kuchambua, kutafasiri na kutunza takwimu na taarifa
mbalimba za jiosayansi kwa maana ya Jiolojia, Jiokemia , na
Jiofizikia pamoja na upatikanaji wa madini nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...