Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alipotembelea banda la benki hiyo lililopo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, kunakofanyika mkutano mkuu wa SADC, alipofika kufungua Maonyesho ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) . Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki hiyo, Tully Mwambapa. Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wakuu wa mkutano wa SADC 2019.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...