Mmoja wa wanataaluma wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, akiuliza jambo wakati wa mafunzo Kupata Makala kutoka katika Tasnifu zao.  (How to turn a Thesis / Dissertation into a Journal Article).
 Mkurugezi wa Kurugenzi ya Huduma kwa Umma Dkt. Mona Mwakalinga, pamoja na Dr. Fikira Kimbokota wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa wakifuatilia jambo wakati wa mafunzo hayo chuoni hapo.

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. A Makuliko na Prof. A Mtembei wa Chuo Kikuu Dar es Salaam wakiteta jambo wakati wa Mafunzo yanayoendelea katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa.( MUCE)
 Baadhi ya wanataaluma wakifuatilia kwa makini mafunzo ya Kupata Makala kutoka katika Tasnifu zao yaani (How to turn a Thesis / Dissertation into a Journal Article). Yaliyoandaliwa na Kurugenzi ya Huduma kwa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...