Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Tom Apson (wa pili kushoto), akipata maelezo alipotembelea kwa lengo la kukagua Mradi mkubwa wa kuchenjua madini ya Copper uliopo wilayani humo siku ya mkesha wa Krismasi. Licha ya kwamba siku hiyo ilikuwa ni sikukuu ya lakini DC Apson na timu yake aliamua kuchapa kazi kutimiza kauli mbiu ya Wilaya ya KAZI ZAIDI.
DC Apson akiwa na maofisa wake pamoja na maofisa wa mradi huo.
DC Apson akielekea kukagua mradi huo
Akibadilishana mawazo na baadhi ya maofisa
DC Apson akiwa na maofisa wake pamoja na maofisa wa mradi huo.
DC Apson akielekea kukagua mradi huo
Akibadilishana mawazo na baadhi ya maofisa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...