Na Yassir Simba, Michuzi Tv
Mabingwa watetezi wa Tanzania bara Simba Sports Klabu imemtangaza Sven Vanderbroeck raia wa Ubeligiji kuwa kocha wake mkuu akichukua nafasi ya mbelegiji aliyetimuliwa hivi karibuni.
Mabingwa watetezi wa Tanzania bara Simba Sports Klabu imemtangaza Sven Vanderbroeck raia wa Ubeligiji kuwa kocha wake mkuu akichukua nafasi ya mbelegiji aliyetimuliwa hivi karibuni.
Vanderbroeck amewahi kuifundisha timu ya taifa ya Zambia pia alishinda ubingwa wa Afrika( AFCON) akiwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Cameroon mwaka 2017.Kocha huyo atakuwa akisaidiwa na Selemani Matola aliyetambulishwa jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...