RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiondoa kipazia kuashiria kulizindua Mradi wa Maji Safi na Salama na
Usafi wa Mazingira Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika eneo la
Saateni Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56
ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji
na Nishati.Mhe.Salama Aboud Talib na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu
Wizara ya Ardhi Nyuma Maji na Nishati.Ndg. Ali Halil na Mkurugenzi Mkuu
(ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhan Haji.(Picha na Ikulu)

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA) Ndg.Mussa Ramadhani Haji akitowa
maelezo ya Kitaalamu ya ujenzi wa Tangi la Maji Saateni Zanzibar, wakati
wa hafla ya uzinduzi wa Mradi huo wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira
uliofanyika leo, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhani Haji akitowa
maelezo ya michoro iliopita mabomba ya kusambazia maji katika maeneo
mbalimbali ya Wilaya ya Mjini Unguja wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa
Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira (kulia kwa Rais) Waziri wa
Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar.Mhe.Salama Aboud Talib. Ikiwa ni
shamrashamra za kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Mradi wa Maji Safi na Usafi wa
Mazingira Saateni Wilaya ya Mjini Unguja, (kulia kwa Rais) Waziri wa
Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Mhe. Salama Aboud Talib na (kushoto kwa
Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Ndg.Ali Halil
na Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA)Ndg. Mussa Ramadhani Haji, ikiwa ni
shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...