Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akikagua eneo la uwanja
wa mbinu za medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani
Kilimanjaro, leo 06/03/2020, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ajili ya
ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (wapili kulia) akitumia
darubini kuangali wakati alipofanya ziara ya ukaguzi eneo la uwanja wa
mbinu za medani lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani
Kilimanjaro, leo 06/03/2020, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ajili ya
ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akizungumza na maofisa wa vyeo mbalimbali (hawapo pichani) wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Shule ya Polisi Moshi iliyopo mkoani Kilimanjaro, leo kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Hamis Hamduni na kushoto ni Kaimu Mkuu wa shule hiyo ya Polisi ACP Omar K. Omar. Picha na Jeshi la Polisi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...