Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
(kulia) akifafanua jambo kwa Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe.
Hussain Ahmad Al-Homaid Wakati Balozi huyo alipomtembelea leo 6 Machi
katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala
mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
(kulia) akibadilishana kadi za mawasiliano na Balozi wa Qatar nchini
Tanzania, Mhe. Hussain Ahmad Al-Homaid wakati Balozi huyo alipomtembelea
leo 6 Machi katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na
kujadiliana masuala mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
(katikati) akifafanua jambo kwa Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe.
Hussain Ahmad Al-Homaid Wakati Balozi huyo alipomtembelea leo 6 Machi
katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala
mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo, kushoto ni
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Yusufu Singo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akiagana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain Ahmad Al-Homaid Wakati Balozi huyo alipomtembelea leo 6 Machi katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...