
Mkuu wa mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kanda ya kaskazini, Brigita Stephen (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu mkazi wa Longido, Sketa Mollel wakati wafanyakazi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini walipotembelea kijiji hicho kwenye shamrashamra ya wiki ya wanawake Duniani na kutoa zawadi mbalimbali kwa wakazi wa Longido.



Wafanyakazi wa Vodacom wakiwa kwenye picha ya pamoja

Meneja wa VBU, Scola Lyakurwa (kushoto) akikabidhi zawadi

Wafanyakazi wa Vodacom (kulia) na Wanakijiji wakifurahi pamoja mara baada ya kukabidhiana zawadi mbalimbali

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...