Mbunge wa Viti maalum Anaewakilisha Vijana jana Mariam Ditopile yupo jijini London Uingereza kwa ajili ya kukutana na Wabunge mbalimbali wa Nchi hiyo kuwaeleza hatua kubwa zilizopigwa na serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dr Magufuli kwenye Sekta ya Afya kwa kutumia pesa za Ndani za walipa kodi.
Pia mafanikio ya Mambo ya Lishe huku Uingereza akiwa mdau mkubwa kupiga Dfid na kuomba waendelee kuunga mkono juhudi za serikali kwani mambo yanayofanyika ni makubwa mno.Pia kwa kipekee jana aliweza kuwasilisha Speech ya Dakika tano ndani ya Bunge la Uingereza maarufu HOUSE OF COMMONS Westminister.Pia amehojiwa na Radio station mbalimbali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...