Mkurugenzi wa kitengo cha Vodacom Business, Arjun Dhillon (kushoto) akichangia mada kwenye mdahalo wa teknolojia ya kilimo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Ubunifu uliofanyika jijini Dar Es Salaam, ambapo mkulima anaweza kupata taarifa mbalimbali za kilimo kupitia mtandao wa Vodacom. Wengine ni Afisa Mtendaji Mkuu wa SAGCOT, Geofrey Kirenga na Mshauri wa Sera za Kilimo, Prof. David Nyange.
Mtaalam na Mshauri wa Teknolojia kwa Wateja wakubwa kutoka Vodacom, Goodluck Moshi akielezea namna mfumo maalum wa kidijita M-KULIMA utakavyowawezesha wakulima kupata dondoo za kilimo kutoka mtandao wa Vodacom
  
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akizungumza kwenye kongamano la wadau wa kilimo kupitia ubunifu wa kiteknolojia kwa mkulima kuweza kupata taarifa za kilimo, ushauri, bei za mazao, pembejeo na taarifa za hali ya hewa kupitia mfumo maalum wa kidijitali M-KULIMA kutoka mtandao wa Vodacom  
Wadau wa kilimo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali
Picha ya pamoja mara baada ya kongamamo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Sukari Tanzania, Prof. Kenneth Bengise (katikati) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi 
Mwenyekiti wa Bodi ya Sukari Tanzania, Prof. Kenneth Bengise na  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi wakipeana mikono mara baada ya kumalizika kwa kongamano la kilimo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...