Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na
salimiana na Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali
Abeid Karume (kulia) na Naibu Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi
wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar leo katika mkutano na
Wasanii wa Zanzibar
Wasanii wa Shirikisho kutoka
Kisiwani Pemba wakionesha Igizo la “Ndoto Yangu” katika mkutano na
Wasanii wa Zanziba uliotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar leo,
Wasanii wakongwe wakisimama wakati
wa kutambulishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Mkutano na
Wasanii wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Mjini Zanzibar,
Baadhi ya Wasanii na Viongozi
mbali mbali walioalikwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini
Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza
na wasanii mbali mbali wa Zanzibar katika mkutano uliofanyika leo
ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na
Wasanii wa Zanzibar, (kushoto) Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Balozi Ali Abeid Karume,na Msauri wa Rais mambo ya Utamaduni na
Michezo Bw.Chimbeni Kheir Chimbeni(katikati),
Baadhi ya Wasanii na Viongozi
mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa
akizunmza na wasanii hao katika mkutano maalum uliofanyika leo katika
ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa
Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara
alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Mjini Zanzibar leo katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wasaniii wa
kikundi cha sanaa waliomkaribisha leo kwa ngoma ya kibati mara
alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (katikati)
Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume,
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...