Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la
Mpira wa Miguu wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi nan a Mashabiki
waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga
na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi
08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga na
Simba sifuri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Waziri wa Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Waziri wa
Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali
Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu wakishuhudia
Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa
katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo
uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga na Simba sifuri.
Mashabiki wa Klabu ya Yanga wakiwa wameshika bango la Kumkaribisha Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
katika Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba
Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020.
Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga na Simba sifuri.

PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...