


Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akimkabidhi Miriam Shemndolwa ambaye ni mlemavu msaada wa
Sh. 5, 000,000 ili pamoja na michango mingine zisaidie ujenzi wa nyumba
ya kuishi Miriam na Bibi yake mlezi, Eonica Hiza (katikati). Waziri
Mkuu alimtembelea Miriam nyumbani kwao Mombo wilayani Korogwe, Machi 5,
2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Miriam Shemndolwa ambaye ni mlemavu wakati
alipomtembelea nyumbani kwao Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020.
Katikati ni Bibi na Mlezi wake, Eonica Hiza. Mheshimiwa Majaliwa alitoa
msaada wa Sh. 5,000,000 ili pamoja na michango mingine zimsaidi kujenga
nyumba ya kuishi yeye na Bibi yake mlezi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...