Dkt Charles Kimei

Mfanyabiashara Enock Zadock Koola ameongoza katika kura za maoni ya kumpata Mbunge wa Jimbo la Vunjo baada ya kupigiwa kura 187 dhidi ya Mshindani wake  Dkt Charles Kimei aliyepata kura 178 akishika nafasi ya Pili.

Nafasi ya tatu imechukuliwa na Crisipin Meela aliyepata kura 47 ,Laurance Mrack akipata kura 44 na nafasi ya tano ikishika Regina Chonjo aliyepata kura 35 kati ya kura 567.

Matokeo yametangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi Kumotola Kumotola.

Na @dixonbusagaga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...