Na Abdullatif Yunus Michuzi Tv.

Wanachama wa CCM katika Baadhi ya Wilaya za Mkoa Kagera leo zinashiriki  Uchaguzi wa kura za maoni ili kuwapata wale wachache katika wengi waliovuta fomu, ambao majina yao yatapendekezwa Halmashauri Kuu ya CCM kujadiliwa na kupata jina moja moja litakaropeperusha Bendera ya Chama katika Eneo na Nafasi Husika.
 Baadhi ya Waliochukua fomu Bukoba Mjini wakiwa katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Bukoba mahali panapofanyika Mkutano
 Sehemu ya Wajumbe Halali wa kikao wakifuatilia matukio mbalimbali Ukumbini
 Bi. Adia Rashid Katibu wa CCM Wilaya Biharamulo akifungua Kikao mapema katika Ukumbi wa Zaki Pub unapofanyika Mkutano

 Karagwe kazi ya kupiga Kura imekwisha anza
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...