OFISI YA RAIS
TUME YA UTUMISHI WA UMMA



SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma (PO PSC) tunaungana na Watanzania wote katika kuomboleza msiba mzito wa Taifa wa mpendwa wetu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, kilichotokea usiku wa kuamkia siku ya Ijumaa, tarehe 24 Julai, 2020.

Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu, Benjamin William Mkapa mahali pema peponi.

TUTAKUKUMBUKA DAIMA
1938-2020

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...