Mwanamuziki Zuchu maarufu “I AM ZUCHU” akiimba katika onesho lake la kwanza tangu aanze kuimba muziki lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuhudhutiwa na mamia ya mashabiki wake.


Mwanamuziki Mbosso akitumbuiza katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

 
 
Msanii Zuchu (Kushoto) akiwa na Diamondplatnamz (Kulia) wakipiga picha ya pamoja kwenye Sanamu la Zuchu katika onesho la “Iam Zuchu” lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.Baadhi ya wapenzi wa Muziki na Mashabiki wa Zuchu , waliohudhuria Usiku ‘Special’ kwa ajili yake ,wakifurahia Performance zinazoendelea Juu ya Stage katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.


Muonekano wa Ukumbi kwa nje katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Muonekano wa Lady Jaydee kwenye show ya Zuchu Dayna Nyange akiwa kwenye red carpet katika show ya Zuchu Mlimani City Jijini Dar es Salaam. 
Mwanamitindo wa Kimataifa ndani na nje ya nchi ya Tanzania Flaviana Matata akiwa na Mbunnifu wa mavazi mahiri nchini Ally Remtullah wakiwa wamepozi kwenye red carpet,tayari kushuhudia usiku wa  show ya “IAM ZUCHU”.

Khadija Kopa kwenye show ya Zuchu 
Msanii na Mjasiliamali maarifu kwa jina la Shilole akifurahia jambo na Msanii Mwenzake almaarufu kwa jina la  Baba Levo wakato wa onesho kambambe ya msani Zuchu ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar. Wema Sepetu kwenye show ya Zuchu 
Muonekano wa Queen Darleen kwenye show ya Zuchu  
Muonekano wa Zuchu kwenye show yake wapongezwa kila konaKatibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akisalimiana na Msanii Rayvanny katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akisalimiana na Meneja wa Diamondplatnamz Salaam SK katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya  ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaamKatibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akizungumzajambo na Msanii Nassib Abdul a.k.a Diamondplatnumz katika onesho la 'I AM ZUCHU' lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Hassan Abbas akizungumza na mashabiki mbalimbali waliohudhuria katika onesho la “Iam Zuchu” lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...