WAKUU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA MASHARIKI,(SIMIYU,MARA NA.SHINYANGA) WANAWAKARIBISHA WANANCHI WOTE KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO MAONYESHO YA NANENANE 2020,KITAIFA

KATIKA VIWANJA VYA NYAKABINDI,MKOANI SIMIYU.KAULI MBIU YA NANENANE NI..


KWA MAENDELEO YA "KILIMO,MIFUGO NA UVUVI,CHAGUA VIONGOZI BORA 2020"


MGENI RASMI WA MAADHIMISHO HAYA ATAKUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI.YA MUUNGANO YA TANZANIA,MH KASSIM MAJALIWA.


KARIBUNI TUJUMUIKE KUSHEREKEA NA KUJIVUNIA MAFANIKIO MAKUBWA KWENYE SEKTA ZA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI TANZANIA.
WOTE MNAKARIBISHWA.
IMETOLEWA NA.


MARIAM MBAGA
KATIBU TAWALA~SIMIYU KWA NIAMBA YA KAMATI YA MAANDALIZI,NANENANE2020.
#NANENANE2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...