Mkuu wa Huduma za Kibiashara wa Benki ya Absa Tanzania, Pius Makalle akikabidhi baadhi ya vitu walivyotoa msaada kwa Meneja wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Darius Damas (wa tano kushoto), kituoni hapo, Upanga, Dar es Salaam Jana. Katika hafla hiyo wafanyakazi hao walikabidhi vifaa vya umeme wa sola, jokofu, vyakula na misaada mingine ya kibinadamu vyenye thamani ya zaidi ya shs milioni 6.7.
Meneja Rasilimali watu wa Benki ya Absa Tanzania, Anna Chacha, akikabidhi baadhi ya vitu walivyotoa msaada  kwa Meneja wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Darius Damas (wa tano kushoto), kituoni hapo jijini Dar es Salaam jana. Katika hafla hiyo wafanyakazi hao walikabidhi vifaa vya umeme wa sola, jokofu, vyakula, na misaada mingine ya kibinadamu vyenye thamani ya shs milioni 6.7.


Baadhi ya wafanyakazi  wa Benki ya Absa Tanzania wakibeba misaada mbalimbali  wakati wakiwasili katika mahabusu ya watoto Upanga jijini Dar es Salaam jana. Katika hafla hiyo wafanyakazi hao walikabidhi vifaa vya umeme wa sola, jokofu, vyakula, na misaada mingine ya kibinadamu vyenye thamani ya shs milioni 6.7.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...