RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Kama Wilaya ya Kaskazini B Unguja kumtembelea na kuzungumza nae leo 12-2-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa Mstaaf, alipofika kumtembelea na kuzungumza nae nyumbani kwake Kama Wilaya ya Kaskazini B Unguja.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...