Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameongoza mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John William Kijazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA). Mwili wa marehemu Balozi Kijazi utaagwa kesho Ijumaa Februari 19, 2021 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam na kisha kusafirishwa kwenda Wilayani Korogwe, Tanga kwa ajili ya mazishi
Home
JAMII
TAARIFA
WAZIRI MKUU AONGOZA MAPOKEZI YA MWILI WA ALIYEKUWA KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI JOHN KIJAZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...