Majeneza yenye miili ya watu watano wa familia moja ya Mtuwa wanaodaiwa kufariki Dunia Machi 21, 2021 wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli uwanja wa Uhuru Mkoa wa Dar es Salaam wakiwasili Katika kanisa la KKKT Kimara Korogwe tayari kwa Ibada ya mazishi ambapo wanatarajiwa kuzikwa kwenye makaburi ya familia hiyo Nyumbani kwao Kimara Mkoani Dar es Salaam.
Home
HABARI
JAMII
MATUKIO
WANAFAMILIA WATANO WANAODAIWA KUFARIKI WAKATI WA KUAGA MWILI WA HAYATI JPM KUZIKWA LEO DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...