MKE wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi akizungumza na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni alipofanya
ziara ya kuwatembelea na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu
wa Ramadhani, na (kulia kwake) Naibu Katibu Mkuu Ustawi wa Jamii Wazee
Jinsia na Watoto Bi. Abeida Rashid Abdallah na (kushoto kwake) Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na
Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Ustawi wa
Jamii Wazee Jinsia na Watoto anayeshughulikia (Ustawi wa
Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto ) Bi. Abeida Rashid Abdallah akizungumza
wakati wa alipofika katika makaazi ya Nyumba za Wazee Sebleni
kuwasalimia na kuwakabidhi Futari na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi akiwakabidhi Futari Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni
Jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia katika makaazi yao Sebleni na
kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee
Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi
ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makazi yao kwa ajili ya kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika makaazi yao Sebleni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...