MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla ameelekeza ulipaji wa fidia ya wananchi Mto Ng'ombe ufanyike Jumatatu ya wiki ijayo baada ya taratibu zote kukamilika.

RC Makalla ameyasema hayo alopokutana na watendaji wa taasisi mbalimbali zikizopo ktk Mkoa huo kwa lengo la kufahamiana, kupokea taarifa na changamoto.

Utekelezaji wa ulipaji wa fidia wananchi mto Ng'ombe ni kufuatia agizo la katibu mkuu wa CCM  Daniel chongolo alilolitoa tarehe 22 mwezi huu na kuagiza mkuu wa skoa kulifuatilia Suala hilo na kulipatia ufumbuzi ndani ya wiki moja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...