Ujenzi wa barabara ya Kilwa wilaya ya Temeke jijini Dar
es Salaa unaendelea kwa kasi kama inavyoonekana pichani mafundi
wakiendelea na kazi ya kuhakikisha barabara inakamilika kwawakati ili kuwapunguzia
foleni wananchi wanaoishi Mbagala na maeno mengine ya jiji.
Ujenzi wa barabara ya Kilwa wilya ya Temeke jijini Dar es Salaam ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana pichani.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...