Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF Wallace Karia, alipowasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Julai 03,2021 kwa ajili kuangalia Mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia pambano kati ya watani wa Jadi Simba na Yanga unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam leo Julai 03,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Julai 03,2021 kwa ajili kuangalia Mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga. (Picha na Ikulu.)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...