LEO  majira ya saa 5:00 asubuhi timu ya Polisi Tanzania imepata ajali wakati ikitoka mazoezini kwenye uwanja wa TPC uliopo kwenye Kiwanda cha sukari TPC Moshi na kupelekea majeruhi kwa wachezaji 18 ambao ni: 

1. Gerald Mdamu - amevunjika miguu yote miwili

2. Abdullazizi Makame

3. Pius Buswita

4. Daruweshi Saliboko

5. Deusdedity Cosmas

6. Salum Ally

7. Abdulmaliq Adam

8. Idd Mobby

9. Marcel Kaheza

10. Shabani Stambuli

11. Yahaya Mbegu

12. Datusi Peter

13. Mohammed Bakari

14. Mohammed Yusuph

15. Kassim Haruna

16. Christopher John

17. George Mketo - dereva 

18. Vicente Ngonyani - Ngonya

Wachezaji wote hawa wapo KCMC wakiendelea na uchunguzi wa daktari, chanzo cha ajali kinachunguzwa.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...