Napita hapahapa.Kamera ya Michuzi TV  leo  September 23, 2021 imenasa  wajasiriamali  maarufu kama Machinga  wakiandaa Viatu vyao  katika kitu cha Daladala Tandika jijini  Dar es Salaam  kama wanavyooneka pichani .
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)Wafanya biashara wakiwa pembeni ya Barabara ya Kawawa eneo la Kinononi  wa Jijini  Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...