Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa maonesho ya tatu ya Sido kitaifa. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Umoja Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Sept 22,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaowakilisha Mkoa wa Kigoma mara baada ya kufungua maonesho ya tatu ya Sido kitaifa yanayofanyika wilayani Kasulu mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika ufunguzi wa  maonesho ya tatu ya Sido kitaifa yanayofanyika wilayani Kasulu mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Benedicto Kalumuna   ambaye ni afisa kutoka Sido juu ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Sido  wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Sept 22,202
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akishuhudia namna bora ya ufugaji wa vifaranga kwa kutumia Keji maalum  wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maenesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango mke wa Makamu wa Rais (wa katikati) pamoja na Theobali Sabi ambaye ni mjasiriamali. Sept 22,2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Gisela Dennis  ambaye ni afisa masoko wa kampuni ya Deve inayojishughulisha na uuzaji wa vifaa vya Hospitalini wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Sept 22,2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Salvatory Mwinula mjasiriamali ambaye ni fundi wa kutengeneza mitambo ya kufua umeme wa kuangulia vifaranga wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Sept 22,2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor akiwasili katika uwanja wa Umoja mjini Kasulu mkoani Kigoma kwaajili ya kuzindua maonesho ya tatu ya Sido kitaifa. Sept 22,2021.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...