Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa viti na tenti kwa ajili ya mradi wa Sauti ya Jamii Kipunguni uliotekelezwa na Kituo cha Taarifa na maarifa cha Kipunguni leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi akizungumza mara baada ya kuzindua viti na tenti kwa ajili ya mradi wa Sauti ya Jamii Kipunguni uliotekelezwa na Kituo cha Taarifa na maarifa cha Kipunguni leo Jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Amani Kata ya Kipunguni, Danny Malagashimba akizungumza kuhusu namna walivyojioanga kutekeleza miradi mbalimbali katika mtaa wa Amani hasa inayohusu Kituo cha Taarifa na maarifa cha Kipunguni leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Sauti ya Jamii Kipunguni, Selemani Bishagazi akizungumza kuhusu kituo cha Taarifa na Maarifa cha Kipunguni namna walivyojidhatiti kuwa na Miradi mbalimbali ili kuondoa utegemezi kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP)wakati wa uzinduzi wa viti na tenti vilivyonunuliwa na Sauti ya Jamii Kipunguni.
Mwenyekiti wa Sauti ya Jamii Kipunguni, Fatma Abdulrahman Talib akizungumza kuhusu wanavyosimamia miradi mbalimbali ya kituo cha Taarifa na maarifa cha Kipunguni hasa kwenye miradi ya kilimo na ushonaji inayoendelea kwenye mtaa wa Amani wakati wa uzinduzi wa viti na tenti vilivyonunuliwa na Sauti ya Jamii Kipunguni.
Baadhi ya wajumbe wa Vituo vya Taarifa na Maarifa mbalimbali vilivyoko Dar es Salaam wakitoa maoni kuhusu namna walivyojipanga kuweza kutoa elimu hasa ya usimamizi wa miradi itakayokuwa inatekelezwa kwenye vituo vyao mara baada ya kupata elemu kutoka kwenye Kituo cha Taarifa na Maarifa cha Kipunguni leo kwenye uzinduzi wa viti na tenti kwenye Kituo hicho leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi wakati wa uzinduzi wa mradi wa viti na tenti uliochini ya Kituo cha Taarifa na Maarifa cha Kipunguni leo Jijini Dar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi akiwa kwenye picha ya Pamoja na baadhi ya wadau mbalimbali mara baada ya kumaliza uzinduzi wa mradi wa viti na tenti uliochini ya Kituo cha Taarifa na Maarifa cha Kipunguni leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP), Lilian Liundi akizungumza na baadhi ya viongozi wa Kituo cha Taarifa na Maarifa cha Kipunguni leo mara baada ya kumaliza uzinduzi wa mradi wa viti na tenti Jijini Dar es Salaam


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...