RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Vitambulisho vya Wajasiriamali
Wadogo Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali
Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Mustafa Idrisa Kitwana na Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Mjini Kichama.Ndg Talib Ali Talib.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali
kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Bi.Amina Said Mdoe, hafla hiyo ya
kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali
kutoka Mkoa wa Kusini Pemba Bi.Fatma Khamis Juma, hafla hiyo ya kuwakabidhi
Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitambulisha chake na Waziri
wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed, baada ya kukizindua na kuwakabidhi Wajasiriamali
Wadogo wa Unguja na Pemba, hafla hiyo iliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia
Wajasiriamali Wadogo Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya
Wajasiriamali uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Andulwakil Kikwajuni
Zanzibar.WAJASIRIAMALI Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) wakati akiwahutubia katika
hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali kutoka Soko la
Kibandamaiti Bi.Hawa, alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wajasiriamalin
Wadogo, wakati wa uzinduzi wa Vitambulisho vya Biashara kwa Wajasiamali Wadogo wa
Unguja na Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...