Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kupitia kitengo chake Cha masoko, wameanza kampeni ya kutoa elimu na kuwahamasisha wananchi kuchangamkia fursa ya uwekaji wa umeme kwenye maeneo yao kupitia miradi ya REA awamu ya III mzunguko wa II.
Wakizungumza wakati wa zoezi la utoaji wa elimu hiyo kwa mkoa wa manyara wilaya ya kiteto, Afisa masoko wa Shirika hilo, Neema Mbuja amewataka wanavijiji walioko kwenye wilaya ya kiteto kuhakikisha wanawatumia wakandarasi waliosajiliwa ili kuwawekea mifumo ya utandazaji wa umeme majumbani kwao ili kuepuka madhara yatokanayo na kazi zinazofanywa na makandarasi feki.
Vijiji ambavyo vimeshapatiwa elimu no pamoja na engangongare, orkitikiti, mesera, Asamatwa, Olgira, Loltepesi
Home
HABARI
WANAKIJIJI WA WILAYA YA KITETO KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA AWAMU YA TATU MZUNGUKO WA PILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...