*****************

Serikali kupitiaTaasisi ya Elimu Tanzania (TET) leo tarehe 26/10/2021 imeendelea na zoezi la usambazaji wa vitabu vya Kiada kwa Shule za Msingi na Sekondari
katika halmashauri mbali mbali nchini .

Ambapo jumla ya vitabu 489,095 vinasambazwa katika halmashauri 8 za Mkoa wa Kigoma ambazo ni Buhigwe, Kasulu, Kasulu TC, Uvinza, Kibondo, Kigoma Vijijini, Ujiji, na Kakonko.

Zoezi la usafirishaji wa vitabu hivyo linafanywa na Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...