Kamera ya Michuzi Tv leo Novemba 11, 2021 imenasa Mfanyabiashara mdogowadogo waa Mbogamboga kwenye kituo cha mabasi Ilala eneo la Karikaoo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam akiandaa biashara yake leo kama anavyoonekana pichani bei ya fungu moja la mbogamboga ni shilingi 500 hadi 1000 inategemea na ukubwa wa fungu.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Wafanyabiashara wadogowadogo wa Ilala katika kituo cha mabasi cha Kariakoo wialaya ya Ilala leo Novemba 11, 2021 jijini Dar es Salaam wakiendelea na kazi.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...